December 24, 2014

AJALI YA GARI NJIA YA KOROGWE-SAME

Ajali ya gari dogo lililokuwa likiendeshwa na Advocate Anthony Shuma kutoka jijini Dar es Salaam kuelekea Moshi katika shamra shamra za siku kuu ya X Mass limepata ajali katika eneo la Njoro mkoani Kilimanjaro hii leo.

Watu wote waliokuwamo katika gari hilo wapo salama na hakuna aliyeumia ni uharibifu wa gari tu.
Wasamaria waliokuwa safarini kutoka Dar es Salaam na mikoa mingine kwenda Mosho na Arusha kwa mapumziko ya mwisho wa mwaka walisimama na kutoa msaada.

No comments:

Post a Comment