Jaji Thokozile Masipa ametoa hukumu hiyo dhidi ya mwanariadha huyo bingwa wa Olimpiki, kutoka Afrika Kusini aliyemwua mpenzi wake,Reeva Steenkamp kwa makusudi
baada ya mzozo chooni. Jaji huyo bado hajatoa ni dhabu gani itatolewa dhidi yake.
Oscar Pistorius akisaidiwa kuingia Mahakamani jana.
Wanaandishi wa habari wakichukua picha wakati akiingia mahakamani hapo.



No comments:
Post a Comment