KATIKA GAZETI TANDO HILI UTAWEZA KUJIPATIA HABARI MOTO MOTO KATIKA PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI KUTOKA NDANI NA NJE YA TANZANIA HASA YALE YANAYOGUSA MAISHA YA KILA SIKU YA MTANZANIA.LUGHA KUU INAYOTUMIKA HUMU NI KISWAHILI.
September 12, 2014
DC NEWALA ATEMBELEA DARASA LA SABA MNYAMBE NA MNAYOPE
Mkuu wa Wilaya ya Newala, mkoani Mtwara, Christopher Magala akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi na walimu wa shule ya Msingi Mnyambe na
Mnayope alipozitembelea jana kukagua hali ya ufanyaji mitihani hiyo.
No comments:
Post a Comment