July 16, 2014

Anuary Mkama na Amida Issa waagwa rasmi DW

 Kutoka kushoto Naibu Mkuu wa Idhaa ya Kiswahili, Mohammed Abdulrahman, Amida Issa, mtangazaji mkongwe Sekione Kitojo na Anuary Mkama.
Wafanyakazi wa DW baada ya hafla fupi ya kuwaaga watangazaji Anuary Mkana kutoka Tanzania na Amida Issa kutoka Burundi.

No comments:

Post a Comment