Waziri
mkuu Mizengo Pinda akiangalia moja kati ya magari yaliyo chomwa moto nyumbani
kwa Mbuge wa Masasi Mariam Kasembe wakati wa vurugu mwaka moja uliopita alipotembelea
wilaya hiyo.
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiangalia Mpira wa
Matambara wa kijana Hasani Kasim alipokuwa katika ziara ya kukagua adhari za
vurugu mwaka mmoja uliopita katika Wilaya ya Masasi .
Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Masasi akimwonyesha
Waziri Mkuu Mizengo Pinda adhari za vurugu ambapo ofisi ya CCM ilichomwa moto
mwaka mmoja uliopita .
Sehemu ya jengo la CCM Wilaya ya Masasi ambalo
liliteketezwa na moto mwaka jana.
Waziri mkuu
Mizengo Pinda akikagua nyumba ya Mbuge wa Masasi Mariam Kasembe ambayo
ilichomwa moto wakati wa vurugu mwaka moja uliopita alipotembelea wilaya
hiyo.Kulia ni Omary Lada mume wa Mbuge
Waziri mkuu Mizengo Pinda akikata utepe
kuashiria uzinduzi wa mradi wa umeme wilaya ya Nanyumbu kulia ni waziri wa
nishati na madini Prof Sospeter Muhongo na kutoka kushoto ni Meneja Mwandaminzi
wa TANESCO, Kanda ya Dar es salaam na Pwani
inayojumuisha mikoa ya Lindi na
Mtwara Mhandisi Mahende Mugaya,mkuu wa
wilaya ya Nanyumbu, mkuu wa mkoa wa Mtwara Kanal mstaafu Joseph Simbakalia,
Mbuge wa Nanyumbu Dastani Mkapa.
No comments:
Post a Comment