Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu akizindua jumuia ya
Wanafunzi wa mawasiliano ya Umma na matangazo katika chuo Kikuu
Kishiriki cha Askofu Mkuu Mihayo (SAUT) Tabora wakati alipokuwa mgeni
rasmi katika kongamano la umuhimu wa mipango mkakati ya kimahusiano
katika kutangaza Utalii Tanzania wengine ni wanafunzi wa chuo hicho na
Mkuu wa Chuo, Dk Juvenale Asante Mungu.
Mhadhiri
wa chuo Kikuu kishiriki cha Askofu Mkuu Mihayo (SAUT) Tabora David
Mrisho akizungumza wakati wa kongamano la wanafunzi wa chuo hicho kuhusu
umuhimu wa mipango mkakati ya kimahusiano katika kutangaza Utalii
Tanzania.
Waziri wa
Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu akizungumza katika Kongamano la
umuhimu wa mipango mkakati ya kimahusiano katika kutangaza Utalii
Tanzania katika wa chuo Kikuu kishiriki cha Askofu Mkuu Mihayo (SAUT)
Tabora juzi. kulia ni Mkuu wa Chuo, Dk Juvenale Asante Mungu
Mkurugenzi wa idara ya wanyamapori, Prof Alexander
Songorwa akifafanua masuala mbalimbali kwa wanafunzi wa Chuo Kikuu
kishiriki cha Askofu Mkuu Mihayo (SAUT) Tabora wakati wa kongamano la
umuhimu wa mipango mkakati ya kimahusiano katika kutangaza Utalii
Tanzania
No comments:
Post a Comment