January 16, 2014

UNAHITAJI UREMBO HUU NYUMBANI KWAKO AU SHULENI?

Ashery Mkama akiwa katika moja ya sanamu za twiga alizotengeneza na ipo katika hatua za mwisho kukamilika. Juu ni sanamu ya Pundamilia na mwanae ambayo nayo ipo katika hatua za mwisho.
 
 Sanamu hizi zinapendeza sana kuwekwa katika mazingira kam haya na mengineyo.
Endapo kama unahitaji urembo huu nyumbani kwao au shuleni kwako kutengenezewa wanyama wa aina mbalimbali wa kupamba mazingira yako basi Mtaalam aliyebobea katika sanaa hiii anapatikana na kamwe hutajutia fedha yako uliyotumia kwani kazi ni nzuri n ya uhakika. Wasialiana na ASHERY MKAMA sasa ili upate huduma hii. 
MAWASILIANO Simu: +255 717 661071
Barua pepe: asherym@yahoo.co.uk; asherymkama@gmail.com

No comments:

Post a Comment