January 03, 2014

OFISI YA MAKAMU WA RAIS KATIKA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA MAPINDUZI ZANZIBAR

 Wasanii wa kikundi cha ngoma kutoka Pemba wakitumbuiza katika maonyesho ya kuadhimisha miaka 50 ya  Mapinduzi mjini Zanzibar
 Sehemu ya wafanyakazi  kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais wakiwa katika picha ya pamoja nje ya banda lao la maonyesho katika kiwanja cha Nkuruma mjini Zanzibar.
Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Muungano Bwana Sifuni Msangi akijibu maswali mbalimbali kuhusu Muungano kutoka  kwa wananchi waliotembelea banda la Ofisi ya Makamu wa Rais mjini Zanzibar
Baadhi ya Wananchi waliotembelea banda la maonesho la Ofisi ya Makamu wa Rais wakipata maelezo kuhusu masuala mbalimbali ya Muungano toka kwa Afisa Mwajuma Lugendo.
Mwananchi aliyetembelea banda la Ofisi ya Makamu wa Rais kwenye maonyesho ya kuadhimisha miaka 50 ya mapinduzi akitia saini kwenye kitabu cha wageni mjini Zanzibar

No comments:

Post a Comment