Arnold Swai (wa kwanza kushoto)wakati wa upigaji kura, zoezi lilofanyika juzi, wilayani Hai kuziba pengo la nafasi ya Mwenyekiti.
Mjumbe
wa Halmshauri kuu CCM wilaya ya Hai, Fuya Kimbita, akizungumza katika
zoezi la kupiga kura lililoshuhudia Mwandishi wa Habari Leo, Arnold Swai
akiibuka kidedea.
Arnold
Swai akihutubia baada ya kutangazwa Mwenyekiti Mpya kwa kushinda
uchaguzi uliofanyika juzi. Swai alipata kura 151 kati ya kura 222
zilizopigwa
Mwenyekiti
wa UVCCM mkoa wa Kilimanjaro, Fredy Mushi, akizungumza na wanajumuiya
hiyo muda mfupi kabala ya uchaguzi ulioshuhudia ushindi wa kishindo wa
Mwandishi wa Habari Leo, Arnold Swai kuwa Mwenyekiti wa UVCCM wilaya ya
Hai.
No comments:
Post a Comment