Kuna TUZO maalum kwa wadau waliojituma zaidi ili kuokoa mama zetu na
vichanga. Yaweza kuwa mtu mmoja mmoja au taasisi na vikundi. Ni TUZO ya
Afrika kwa hiyo shime tupendekeze majina ili Watanzania wang'are. kwenye
tuzo ya MSambazeni ujumbe na watu wasome link hii kwa taarifa zaidi http://bit.ly/1dy8i5h
No comments:
Post a Comment