January 07, 2014

MAKALA YA HABA NA HABA TV KUTOKA BBC SASA KUANZA KURUSHWA HEWANI

BBC "Tunayo furaha kukutaarifu kuwa Sasa Makala ya Haba na Haba TV itaanza kuonekana kupitia Star Tv nchini Tanzania ratiba ni kama ifuatavyo:- Kila Jumamosi kuanzia tarehe 11 Saa 1:00 kamili Usiku na Marudio Alhamisi tarehe saa 4:30 Asbh. Usikose kutoa Maoni yako kulingana na Taarifa zetu utakazoziona"

No comments:

Post a Comment