January 07, 2014

JOSEPH YONA, MWENYEKITI WA CHADEMA TEMEKE ASIMULIA ALIVYOTEKWA NI

Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Temeke, Joseph Yona akiwa Hospitali ya Taifa Muhimbili hii leo baada ya kudaiwa kupigwa na watu wasio julikana na kuumizwa vibaya kichwani leo usiku na kutupwa maeneo ya Ununio-Kawe jijini Dar es Salaam. 

Yona amekuwa ni akipinga vikali maamuzi ya kamati kuu CHADEMA kuwavua uanachama dkt Kitila Mkumbo, Samson Mwigamba na Zitto Kabwe. katika sakata linaloendelea CHADEMA. Huyu ni mwanachama wa 3 kukumbwa na kipigo baada ya katibu wa mbunge dkt Alex kupigwa maeneo ya tegeta, mjumbe wa kamati kuu kupigwa ndani ya kikao na sasa mwenyekiti huyu wa temeke. Kabla ya hapo Samson Mwigamba alipigwa mbele ya mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe.

No comments:

Post a Comment