Moja
ya mabalozi wa kinywaji cha Johnnie Walker kutoka Kampuni ya Bia ya
Serengeti wakiwamiminia wageni waalikwa kinywaji cha Johnnie Walker
katika hafla ya Wahindi ya kuadhimisha Kumbukumbu Nzuri(Sweet Memory)
ambayo hufanyika kila mwanzo wa mwaka, Hafla hiyo ilidhaminiwa na
Kampuni ya Bia ya Serengeti kupitia kinywaji chake cha Johnnie Walker
jijini Dar es Salaam.
Wageni walijiachia kwa vinywaji vya Kampuni ya Bia ya Serengeti
No comments:
Post a Comment