Meneja Uhusiano wa Airtel Tanzania Bw. Jackson Mmbando (kulia) akimpigia simu Bw. Edwin Edmund Kajimbo mkazi wa Iringa
aliejishindia tiketi mbili ya safari iliyogharamiwa kila kitu ya kwenda
kuangalia mechi ya ligi kuu ya Uingereza moja kwa moja ‘live’ kwenye
uwanja wa Old Trafford, katika droo ya tisa ya promosheni ya Airtel Mimi
ni Bingwa. Wakati wa droo hiyo iliyochezeshwa jana, washindi 14 wa pesa
taslimu ya zaidi ya Shilingi milioni 22 walipatikana. Kushoto ni
Msimamizi kutoka Bodi ya Michezo ya bahatisha Tanzania Mrisho Millao.
No comments:
Post a Comment