Wanafunzi wenye Ulemavu wa
kusikia(viziwi)pamoja na walimu wao wakiimba wimbo wa Taifa kwa kutumia lugha
ya alama wakati wa uzinduzi Mpango maalumu wa kuchangia wanafunzi wenye ulemavu
katika Manispaa ya Kinondoni Dar es Salaam. Mitandao ya simu itakayotumika ni M-Pesa namba 0768727314 na Tigo Pesa namba
Meya wa wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuf Mwenda
akizungumza kwenye uzinduzi Mpango
maalumu wa kuchangia wanafunzi wenye ulemavu katika Manispaa ya Kinondoni Dar
es Salaam.Kushoto ni Afisa Elimu Manispaa ya hiyo, Hussein Ramadhani na Mganga
Mkuu wa Manispaa hiyo aliye mwakilisha Mkurugenzi…. Mitandao ya simu
itakayotumika ni M-Pesa namba 0768727314
na Tigo Pesa namba 0712200022.
Mwenyekiti wa Vitengo vya
Elimu Maalum katika Manispaa ya Kinondoni,Lessly Nyambo akizungumza kwenye
uzinduzi Mpango Maalumu wa kuchangia
wanafunzi wenye ulemavu katika Manispaa ya Kinondoni Dar es Salaam.
Meya wa wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuf Mwenda
akikata utepe kuzindua Mpango maalumu wa kuchangia wanafunzi wenye
ulemavu katika Manispaa ya Kinondoni Dar es Salaam kwa kutumia njia ya Mitandao
ya simu za mkononi,M-Pesa na Tigo Pesa.
Meya wa wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuf Mwenda
akionyesha simu za mkononi zitakazo tumika kuchangisha fedha kwa ajili ya Mpango maalumu wa kuchangia wanafunzi wenye
ulemavu katika Manispaa ya Kinondoni Dar es Salaam baada ya kuuzindua rasmi.
Mitandao ya simu itakayotumika ni M-Pesa
namba 0768727314 na Tigo Pesa namba 0712200022.
No comments:
Post a Comment