Silaha za ulizni majumbani au katika maofisi si Bunduki na Bastola pekee lakini hata hizi silaha za jadi (mishale) nayo ni silaha muhimu na nzuri hasa. Pichani ni mchuuzi wa zana hizo za ulinzi akipita mitaa katikati ya jiji la Dar es Salaam kutafuta wateja.
No comments:
Post a Comment