December 20, 2013

GWARIDE SI LELEMAMA

HATA KAMA IMEVUNJIKA GEARIDE LINAENDELEA... Askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania Kikosi cha Maji, wakiwa katika gwaride maalum hivi karibuni huku mmoja wao akiwa ameshikilia kitako cha bunduki ambayo ilivunjika katika gwaride hilo la kumuaga aliyekuwa Mkuu wa Kikosi hicho.

No comments:

Post a Comment