Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Mama Salma Kikwete wakati wa hafla ya
Kumbukumbu ya Mzee Nelson Mandela Uwanja wa FNB jijini Johannesburg
Jumanne Novemba 10, 2013.
Pichani juu na chini ni Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha Rais Barack Obama wa Marekani kwa
viongozi mbalimbali wa Afrika wakati wa hafla ya Kumbukumbu ya Mzee
Nelson Mandela Uwanja wa FNB jijini Johannesburg Jumanne Novemba 10,
2013.
No comments:
Post a Comment