December 13, 2013

MWINYI ATUNUKU VYETI MAHAFALI YA KWANZA CHUO KIKUU CHA KAMPALA LEO

 Rais Mstaafu wa awamu ya pili, Alhaji Ali Hassani Mwinyi leo alikuwa mgeni rasmi katika mahafali ya 10 ya Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Kampala (KIU) naMahafali ya kwanza ya Chuo hicho kufanyika Tanzania katika tawi la KIU Dar es Salaam huko Gongo la Mboto.

 Wahitimu wa kozi mbalimbali za Stashahada na Shahada kutoka Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Kampala (KIU) Dar es Salaam wakifurahia jambo wakati wa mahafali yao ya kwanza kufanyika Chuoni hapo jana. Kutoka kulia ni Fausta Mtiankunze, Mfanyakazi wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali TSN, Catherine Chamungwana, Aboubakar Rashid, Ester Paul na Matha Kimbe.
 Sehemu ya wahitimu mbalimbali wa Shahada na Stashahada
Rais Mstaafu wa awamu ya pili, Alhaji Ali Hassani Mwinyi akisoma hotuba yake wakati wa mahafali  ya 10 ya Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Kampala (KIU) na Mahafali ya kwanza ya Chuo hicho kufanyika Tanzania katika tawi la KIU Dar es Salaam huko Gongo la Mboto.
 Wahitimu mbalimbali wakiwa katika uwanja wa Mahafali kusubiri kutunukiwa shahada zao.
 Ester Paul (kulia) na Fausta Mtiankunze ambao ni wahitimu wa shahada ya kwanza ya Maendeleo ya Jamii na Utawala wakiwa na jamaa zao.
 Ester Paul akiwa na jamaa zake. 
 Aboubakar Rashid (katikati) akiwa na baba yake mzanzi, Rashid Shekifu (kulia) wakati wa mahafali hayo.
 Kutoka kulia ni Wahitimu Aboubakar Rashid, Fausta Mtiankuze na Ester Paul.
Fausta katika shangwe na ndugu yake.

No comments:

Post a Comment