December 24, 2013

Makamu wa Rais Dkt. Bilal, amjulia hali mzee Ali Machano Muasisi wa ASP

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Mzee Ali Machano (122) mmoja kati    ya Waasisi wa ASP wakati alipomtembelea kumjulia hali kijijini kwake Moga Mkoa wa Kaskazini Unguja leo Disemba 24-2013.

1 comment: