Waziri Mkuu mstaafu akifurahia jambo na mkuu wa majeshi mstaafu Jenerali
David Musuguri walipokutana uwanja wa ndege wa kimataifa wa mwalimu
Nyerere jijini dar es salaam jana.Jenerali Musuguri ambaye wakati wa
vita ya Kagera alikuwa akijulikana Kama Mti Mkavu ana umri wa miaka 93
No comments:
Post a Comment