Wakiwa na bashasha ya kuanza maisha mapya kama mume na mke ni wanandoa wapya, Dk. Stanford Mwakatage na mkewe Cesilia Semion ambao walifunga ndoa yao takatifu Desemba 14, 2013 katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Usharika wa Msasani na baade kufuatia na tafrija iliyofanyika katika ukum,bi wa Stallion Garden-Mikocheni jijini Dar es Salaam.
Photos Services by: MD Digital Company
Mob; +255 717002303/+255 755 373999/ +255 788207274.
Bi harusi Cesilia akimvisha pete ya ndoa mumewe kipenzi Dk. Stanford wakati wa ibada ya ndoa yao KKKT Msasani.
Bwana harusi alifungua shampeni na rafiki zake.
Dk. Stanford akimnywesha mkewe mvinyo kama ishara ya upendo katika ndoa yao.
Wasimamizi wa ndoa Dk. Erasto Rite na mkewe Lightness Guga wakinyweshana mvinyo wakati wa ndoa ya rafiki yao.
Ni furaha tu kwa kila mtu...
maharusi walikata keki yao ya ndoa...
Maharusi na wasimamizi wao pamoja na wageni mbalimbali waalikwa waliselebuka kwa midundo ya kila namna ukiwepo huu wa kwaito.
No comments:
Post a Comment