Naibu katibu Mkuu wa Wizara katika Ofisi ya Waziri Mkuu, tawala za Mikoa
na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Zuberi Samatama (wa kwanza kushoto)
akizungumza na mwanafunzi wa shule ya msingi Mnazi mmoja wakati
akizindua Tamasha la Mnazi mkida linalolenga uboreshaji elimu ya msingi
Manislaa ya Ilala inayofahamika kama Mnazi Mkinda jijini Dar es salaam
jana. katikati ni Mkurugenzi wa Manispaa hiyo Mwenda Hasara Maganga
No comments:
Post a Comment