Mbunge wa jimbo la Temeke na Mwenyekiti
wa Kampuni ya Bravo Job Centre Agency (LTD)Abbas Mtemvu, Akifafanua
jambo Mbele ya waandishi na Wanao Safirishwa na Kampuni hiyo Mwishoni
Mwa Wiki Dar es Salaam.
Baadhi ya wahudhuriaji wa tukio hilo
Mmoja wa Wasafiri hao Shamimu Mwarufai
Akikabidhiwa Tiketi na Mbunge wa jimbo la Temeke na Mwenyekiti wa
Bravo Job Centre Agncy (LTD)
Mmoja wa Wasafiri hao Fatuma
Chambo Akikabidhiwa Tiketi na Mbunge wa jimbo la Temeke na Mwenyekiti
wa Bravo Job Centre Agncy (LTD)
Dominica Akikabidhiwa Tiketi na Mbunge
wa jimbo la Temeke na Mwenyekiti wa Bravo Job Centre Agncy (LTD) kwa
niaba ya Tabu Khalfani
Lita Dominik Akikabidhiwa Tiketi na
Mbunge wa jimbo la Temeke na Mwenyekiti wa Bravo Job Centre Agncy
(LTD) kwa niaba ya Tabu Khalfani mwishoni mwa wiki Dar es Salaam.
Mbunge wa jimbo la Temeke na Mwenyekiti
wa Bravo Job Centre Agncy (LTD) katika Picha ya Pamoja na wasafiri hao
na ndugu na jamaa Pamoja na viongozi wa nao husika na Ofisi hiyo.
No comments:
Post a Comment