Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na mke wake Mama Salma Kikwete wakihani msiba wa
msichana Patricia Joachim Assey (10) nyumbani kwa wazazi wa marehemu
katika kitongoji cha Majengo kata ya Elerai aliyefariki kutokana na
mlipuko wa bomu jumapili iliyopita Kanisa la Mtakatifu Joseph, Parokia
ya Olasiti. jijini Arusha Mei 7, 2013.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na mke wake Mama Salma Kikwete wakishiriki dua ya
pamoja, wakati walipomtembelea Askofu Mkuu wa Jimbo la Arusha la Kanisa
Katoliki jijini Arusha Muadhama Josephat Lebulu katika makazi yake rasmi
kutoa pole kwa shambulio la kigaidi katika Kanisa la Mtakatifu Joseph,
Parokia ya Olasiti ambako alikutana pia na Maaskofu wa Makanisa
mbalimbali waliokuwa hapo Mei 7, 2013.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na mke wake Mama Salma Kikwete wakitoa mkono wa
pole kwa watawa wa kanisa hilo wakati walipomtembelea Askofu Mkuu wa
Jimbo la Arusha la Kanisa Katoliki jijini Arusha Muadhama Josephat
Lebulu katika makazi yake rasmi kutoa pole kwa shambulio la kigaidi
katika Kanisa la Mtakatifu Joseph, Parokia ya Olasiti ambako alikutana
pia na Maaskofu wa Makanisa mbalimbali waliokuwa hapo Mei 7, 2013.
Wananchi
wakimuaga Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mke wake Mama Salma Kikwete
baada ya kumtembelea Askofu Mkuu wa Jimbo la Arusha la Kanisa Katoliki
jijini Arusha Muadhama Josephat Lebulu katika makazi yake rasmi kutoa
pole kwa shambulio la kigaidi katika Kanisa la Mtakatifu Joseph, Parokia
ya Olasiti ambako alikutana pia na Maaskofu wa Makanisa mbalimbali
waliokuwa hapo Mei 7,2013.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na mke wake Mama Salma Kikwete wakihani msiba wa
kijana James Gabriel (16) aliyefariiki katika shambulio la kigaidi
katika Kanisa la Mtakatifu Joseph, Parokia ya Olasiti jijini Arusha
Jumapili iliyopita.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Bw. Joachim Assey (aliyekaa kushoto
kwake) wakati akihani msiba wa msichana Patricia Joachim Assey (10)
aliyefariki kutokana na mlipuko wa bomu jumapili iliyopita katika
Kanisa la Mtakatifu Joseph, Parokia ya Olasiti jijini Arusha Mei 7,
2013.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na mke wake Mama Salma Kikwete wakihani msiba wa
marehemu Regina Longino Kurusei (45), mkazi wa Olasiti aliyefariiki
katika shambulio la kigaidi katika Kanisa la Mtakatifu Joseph, Parokia
ya Olasiti jijini Arusha Jumapili iliyopita.
Mama
Salma Kikwete akipungia wakati msafara wa Rais Kikwete ukiondoka baada
ya kuhani msiba wa msichana Patricia Joachim Assey (10) katika
kitongoji cha Majengo kata ya Elerai aliyefariki kutokana na mlipuko wa
bomu Jumapili iliyopita katika Kanisa la Mtakatifu Joseph, Parokia ya
Olasiti. katika kitongoji cha Majengo kata ya Elerai jijini Arusha Mei
7, 2013.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akikaribishwa na Askofu Mkuu wa Jimbo la Arusha
la Kanisa Katoliki jijini Arusha Muadhama Josephat Lebulu alipowasili
katika makazi yake rasmi kutoa pole kwa shambulio la kigaidi katika
Kanisa la Mtakatifu Joseph, Parokia ya Olasiti Jumapili iliyopita.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na mke wake Mama Salma Kikwete walipomtembelea
Askofu Mkuu wa Jimbo la Arusha la Kanisa Katoliki jijini Arusha Muadhama
Josephat Lebulu katika makazi yake rasmi kutoa pole kwa shambulio la
kigaidi katika Kanisa la Mtakatifu Joseph, Parokia ya Olasiti ambako
alikutana pia na Maaskofu wa Makanisa mbalimbali waliokuwa hapo Mei 7,
2013
No comments:
Post a Comment