Meneja wa Bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo
akimkabidhi rasmi Mkuu wa Mkoa wa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Abbas Kandoro (kulia)
Tuzo za Bia ya Safari Lager ilizoshinda katika mashindano ya Bia Afrika
yaliyofanyika nchini Ghana. Makabidhiano hayo yalifanyika wakati wa ziara
maalum ya Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) kuonesha Tuzo ilizoshinda Bia yake ya
Safari Lager ambapo jana walikuwa Mkoani Mbeya.

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Abbas Kandoro akizungumza na
wananchi wa Mji wa Mbeya wakati upokeaji Tuzo za Bia ya Safari Lager mkoani
kwake jana ikiwa ni ziara maalum ya Tuzo hizo kusherehekea pamoja na Watanzania
Ushindi wa Bia hiyo ya Kitanzania barani Afrika.Ziara ya Tuzo za Bia ya Safari
Lager inayozalishwa na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) ilikuwa Mkoani Mbeya. Kushot ni Meneja wa Bia
ya Safari Lager, Oscar Shelukindo
Wakazi wa Mji wa Mbeya wakiwa na furaha na tuzo za Bia
ya Safari Lager wakati wa ziara maalum ya Kampuni ya Bia Tanzania (TBL)
kuonesha Tuzo ilizoshinda Bia ya Safari Lager ambapo jana walikuwa Mkoani
Mbeya.
Baadhi ya warembo wanao pamba shamra shamra za ziara
ya Tuzo za bia ya Safari Lager, wakiwa wamepozi na wananchi wakati wa ziara
maalum ya Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) kuonesha Tuzo ilizoshinda Bia ya Safari
Lager ambapo jana walikuwa Mkoani Mbeya.
Wafanyakazi wa TBL Mbeya wakipozi kwa picha na tuzo hizo,
Wakazi wa Mji wa Mmbeya wakiwa wamefurika kwa wingi
wakishuhudia Burudani na Tuzo mbili zilizotwaliwa na Bia ya Safari Lager
inayozalishwa na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) katika mashindano ya Bia Afrika
yaliyofanyika Nchini Ghana.
No comments:
Post a Comment