Hii inafaa kwa watoto wangu kuchezea....Simba jike akiwa ameibeba Camera aina ya Canon iliyokuwa imetegeshwa katika moja ya hifadhi kwaajili ya kunasa taswira mbalimbali za wanyama wakiwepo Sima hao. Ubebaji huo unaweza ufananisha kama mtu anaepeleka zawadi kwa watoto wake.
No comments:
Post a Comment