May 01, 2013

HII NDIO DODOMA YA SASA

Hii ndio mitaa ya sasa ya mjini Dodoma ambapo sasa inapendeza kwa barabara za Lami na kuufanya kweli mji huo sasa kuwa na hadhi ya Makao Makuu ya nchi.

2 comments:

  1. AnonymousMay 01, 2013

    Boooomba sana kwa kutukumbusha mitaa ya nyumbani!
    Ila bado sijakusoma Kidevu light kama ungeweka majina ya mitaa husika ungetukosha sana hasa sisi tulotimka home TANZANIA miaka mingi!

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 01, 2013

    kila mgeni anayefika dodoma lazima akapige picha na sanamu ya mwasisi wa taifa hili pale nyerere square, je vipi wewe hujapiga?

    ReplyDelete