Wakazi
wa Mji wa Shinyanga Mjini,wakiwa wamebebelea Vikombe vya Ushindi wa Bia
Bora Barani Afrika ulioupata Bia ya Safari Lager kule nchini Ghana hivi
karibuni.Safari Lager ipo katika ziara ya kuutembeza ushindi huo
mikoani kwa wanywaji wa Bia hiyo,ambapo leo hii wapo Mkoani Shinyanga
wakisherehekea ushindi huo na wakazi wa Mkoa huo.
Baadhi
ya wakazi wa Mkoa wa Shinganya Mjini wakiwa wamekusanyika kwenye Stendi
Kuu wa Mabasi yaendayo Mikoani kushuhudia Burudani iliyokuwa ikitolewa
na Kundi la Muziki wa Dansi la Safari Lager ambalo lipo katika ziara
hiyo ya kutembeza Vikombe vya ushindi wa Bia yao ya Safari Lager.
Hakuna
mtu aliebaki nyuma wakati Kombe hilo lilipokatiza mbele ya Macho
yake,kila mmoja alitaka kulishika na kutoa pongezi zake kwa bia hiyo.
Msema
Chochote wa Bia ya Safari Laget,Pendo ....... akitoa ufafanuzi wa namna
Bia ya Safari ilivyoshinda tuzo hizo wakati akiwapa maelezo Wakazi wa
Mkoa wa Shinyanga Mjini leo.
Mdau akiwa na Kipeperushi cha Ushindi wa Bia ya Safari Lager huku akionekana kuwa ni mwenye furaha sana.
Mama huyu pia hakutaka kubaki nyuma.
Ni shangweee tu kwa kwenda mbele....
Nyomi....
Baadi
ya Wakazi wa Mkoa wa Shinyanga wakiwa katika picha ya pamoja na Baadhi
ya Wafanyakazi wa Safari Lager pamoja na Vikombe vyao wakati wa ziara
hiyo.
No comments:
Post a Comment