Mkurugenzi
Mkuu wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL),Robin Goetzsche (wa tatu kushoto)
akikabidhi Kombe la Ushindi wa Bia Bora Barani Afrika ulioupata Bia ya
Safari Lager kwa Ujumbe wa Kampuni hiyo unaelekea Bungeni Mjini Dodoma
kwa kupata baraka za waheshimiwa Wabunge na kuzindua rasmi wa ziara ya
kupeleka kombe hilo katika mikoa mbalimbali hapa nchini.Pichani toka
Kushoto ni Mkurugenzi wa Miradi Maalum wa Kampuni ya Bia Tanzania,Phocas
Laswai
(kushoto),Mpishi Mkuu wa Bia za TBL,Gaudence Mkolwe (pili
kushoto),Mkurugenzi wa Masoko,Kushillla Thomas,Mkurugenzi wa Uhusiano na
Sheria wa Kampuni ya Bia Tanzania
(TBL), Steve Kilindo (pili kulia) pamoja na Meneja Bia ya Safari
Lager,Oscar Shelukindo.
Ujumbe
wa kampuni ya Bia Tanzania uliokabidhiwa kombe hilo kwaajili ya
kupeleka Bungeni Mjini Dodoma,Ukiongozwa na Mkurugenzi wa Miradi Maalum
wa Kampuni ya Bia Tanzania,Phocas Laswai (kushoto),Mpishi Mkuu wa Bia za
TBL,Gaudence Mkolwe (pili kushoto),Mkurugenzi wa Uhusiano na Sheria wa
Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Steve Kilindo (pili kulia) pamoja na
Meneja Bia ya Safari Lager,Oscar Shelukindo.
No comments:
Post a Comment