April 22, 2013

REDD'S MISS ARUSHA CITY CENTER KUFANYIKA MEI 4, 2013


Kinywaji cha Redd’s chapambisha shindano la Redds Miss Arusha City Centre 2013.

Warembo wa shindano la kumtafuta mshindi wa shindano la Redd’s Miss Arusha City Centre wakiwa katika mazoezi ya pamoja kujiandaa na shindano lao ambapo jumla ya warembo ishirini na mbili wanatarajiwa kupanda ukumbini kumtafuta mshindi mmoja

 TOUR VISUAL PROMOTION INAWALETEA:

MISS REDD’S ARUSHA CITY CENTRE NDANI YA HOTEL YA KITALII YA SNOW

CREST HOTEL TAREHE 04/05/2013

BURUDANI:

- Mkali wa Mauno - RACHEL

- Ngoma za Asili

- Live Band

- Madancers Mbalimbali

- Live Entertaiments kutoka kwa Warembo

- Back-up DJ Music from Clouds FM – MAWINGU CLUB

KIINGILIO: V.I.P Seats = TSHS 35,000/=

Normal Seats = TSHS 25,000/=

SHINDANO ILO IMEDHAMINIWA NA:  REDD’S ORIGINAL ,SNOW CREST HOTEL,CLOUDS FM / TV AND MAWINGU CLUB - ARUSHA,MODERN DRIVING SCHOOL,DODOMA WINE,MICHUZI JUNIOR BLOG, MWANDAGO INVESTMENT,BG HORIZON LTD,SIGNATURE MINNING COMPANY, CHELSE TRAVEL LIMITED,CHELSE SOLEX LIMITED,MAMBOLEO,POINT ZONE,MEJA LINK LTD,VICTORIA SUPPORT SERVICES,LITTLE ROSES,WAKIPAMBWA NA JOE MACK FASHION.

Fanya booking yako sasa kupitia number – 0755975454 au 0713681059.

No comments:

Post a Comment