April 08, 2013

NANCY EVELINE BENDELA NA JESCA MSENGI WALIVYOTOKELEZEA KATIKA DVD COVER ZAO ZA SEND OFF

 Biharusi Mtarajiwa Jesca Msengi ambaye Jumamosi hii anataraji kufunga ndoa jijini Arusha akiwa ametokelezea vilivyo katika DvD Cover lake. Hii ni kazi nzuri iliyofanywa na MD Digital Compani chini ya Producer Mroki Mroki.
Huyu ni ni Bi Nancy-Eveline Bendela akiwa anamereeta vilivyo katika Cover yake ya DvD, nae kama ilivyo mwenzake hapo juu anataraji kufunga ndoa yake Jumamosi hii Mjini Dodoma. MD Digital Compani chini ya Producer Mroki Mroki walisimamia uchukuaji kumbu kumbu za Vidao na picha mnato.

1 comment: