April 04, 2013

MAGARI YAGONGANA MASAKI JIJINI DAR ES SALAAM LEO


Ajali Hii iliyo yahusisha magari Madogo mawili Toyota Mark II, namba za Usajili T203 AFR iliyokuwa ikiendesha na Mwanamke mmoja aliyetambulika kwa jina moja la Halima ambaye ni Mfanyakazi wa Pricewater cuper ya Masaki jijini Dar es Salaam na Toyota Mark II Grand T902 CHF iliyokuwa ikiendeshwa na Nicholas Fernandes mkazi wa Masaki jijini Dar es Salaam.

Kwa muji wa mashuhuda wa ajali hiyo iliyo tokea katika makutano ya barabara za Tule, Kenyata na Kaunda Masaki jijini Dar es Salaam, wanasema kuwa mama huyo aliumiakichwani ambako alipata mipasuko kadhaa na kukimbizwa Hopitali kwa matibabu.

Gari hilo Mark II T902 CHF likionekana kwa nyuma baada ya ajali hiyo.
Mkazi huyu wa Dar es Salaam akipiga picha gari hilo baada ya kuharibika vibaya.
 Baadhi ya watu wakiangalia gari T203 AFR lililokua likiendeshwa na Halima ambalo liliharibiwa vibaya ubavuni upande wa kushoto.
Askari wa Usalama Barabarani akikagua ajali hiyo.
Dereva wa gari T902CHF Nicholas Fernandes akitoa baadhi ya vitu vyake katika gari lake.
Gari likivutwa

No comments:

Post a Comment