Madimbwi ya maji yakiwa
yamezungunga baadhi ya nyumba na barabara za mitaa katika Maeneo ya Kiwalani
jijini Dar es Salaam. Hii ni kutyokana na eneo hilo kukosa miundombuni
madhubuti ya kuweza kusafirisha maji yote ya mvua yanayotuama katika maeneo
hayo jambo ambalo linaweza kusababisha magonjwa ya milipuko hasa Kuharisha.
Serikali haina budi
kushirikiana na wakazi wa eneo hilo ili kuweza kukabiliana na hali hiyo mapema
kabla madhara zaidi hayatokea na kutupiana lawama.
Hapa ni katika kisima cha kuchotea maji safi Kiwalani lakini nacho kimezungukwa na madimbwi ya maji.
Huku ndio kwetu Kiwalani
Maisha yanaendelea nasisi tupo Jijini Dar es Salaam
Kidogo hapa wa,mepanga viroba kwaajili ya kuvukia.
No comments:
Post a Comment