Wanafunzi wa Vyuo Vikuu vya Dodoma na St Johns
vya mjini Dodoma wakichuana vikali katika Mpira wa Netball kwenye Uzinduzi wa Tamasha
la kampeni ya kinywaji cha Grandmalt ya kuwashindanisha wanafundi ili kuweza
kujinyakulia zawadi mbalimbali ikiwa ni pamoja fedha taslimu ijulikanayo kama
Exel with grandmalt, tamasha hilo lilifanyikia kwenye uwanja wa Jamhuri Mjini
Doodoma jana. UDOM ilishinda kwa seti 17-10 za St. Johns.
Wanafunzi wa Vyuo Vikuu vya Dodoma na St Johns
(jezi nyekundu) vya mkoani Dodoma wakichuana vikali katika Mpira wa Basketball kwenye Uzinduzi
wa Tamasha la kampeni ya kinywaji cha Grandmalt ya kuwashindanisha wanafundi
ili kuweza kujinyakulia zawadi mbalimbali ikiwa ni pamoja fedha taslimu
ijulikanayo kama Exel with grandmalt, tamasha hilo lilifanyikia kwenye uwanja
wa Jamhuri Mjini Doodoma jana. St. Johns ilishinda 4-3.
Mmiti ikichukuliwa tayari kwenda kupandwa..
Msanii wa Muziki wa Kizazi kipya, Joh Makini akipanda
Mti katika Viwanja vya Chuo Kikuu cha Dodoma, anaemshuhudia ni Meneja wa Kinywaji cha Grandmalt, Consolatha
Adam. Upandaji miti huo ni sehemu kampeni ya kinywaji cha Grandmalt ya
kuwashindanisha wanafunzi ili kuweza kujinyakulia zawadi mbalimbali ikiwa ni
pamoja fedha taslimu ijulikanayo kama Exel with grandmalt, tamasha hilo lilifanyikia
katika viwanja vya Chuo Kikuu Dodoma jana.
Mwakilishi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL)
mkoani Dodoma, Daniel Lekey akipanda mti katika Viwanja vya Chuo Kikuu cha Dodoma,
Upandaji mitio huo ni sehemu kampeni ya kinywaji cha Grandmalt ya
kuwashindanisha wanafunzi ili kuweza kujinyakulia zawadi mbalimbali ikiwa ni
pamoja fedha taslimu ijulikanayo kama Exel with grandmalt, tamasha hilo lilifanyikia
katika viwanja vya Chuo Kikuu Dodoma jana.
Rais wa Serikali ya Wanafunzi Chuo Kikuu cha Dodoma Kitivo cha Elimu, Erick Mhongole (katikati)
akisaidiana kupanda Miti katika Viwanja vya Chuo Kikuu cha Dodoma, na Meneja wa
Kinywaji cha Grandmalt, Consolatha Adam (kushoto) na Mtaalam wa Mazingira
Chuoni hapo Nikson Makundi. Upandaji mitio huo ni sehemu kampeni ya kinywaji
cha Grandmalt ya kuwashindanisha wanafunzi ili kuweza kujinyakulia zawadi
mbalimbali ikiwa ni pamoja fedha taslimu ijulikanayo kama Exel with grandmalt,
tamasha hilo lilifanyikia katika viwanja vya Chuo Kikuu Dodoma jana.
Waratibu wakijadiala jambo wakati wa tamasha hilo.
Meneja wa Kinywaji cha Grandmalt, Consolatha Adam, akizungumzia zoezi la upandaji miti.
Waratibu nao wakipanda miti UDOM
Msanii wa Mziki wa kizazi kipya nchini Joh Makini
akiwapagawisha wanafunzi wa vyuo mbalimbali vya mkoa wa Dodoma kwenye Uzinduzi
wa Tamasha la kampeni ya kinywaji cha Grandmalt ya kuwashindanisha wanafundi
ili kuweza kujinyakulia zawadi mbalimbali ikiwa ni pamoja fedha taslimu
ijulikanayo kama Exel with grandmalt, tamasha hilo lilifanyikia katika Viwanbja
vya Nyerere Square Mnini Dodoma jana.
No comments:
Post a Comment