Kocha
wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D'
kushoto akifuraia na bondia pendo Njau baada ya kumpokea bondia Fadhili
Majiha katikati aliyerudi na kombe la ubingwa aliouchukua Indonesia wiki
iliyopita baada ya kumtwanga bondia Heri Amol wa pili ni Japhet Kaseba mwingine ni Kanda Kabongo picha na www.superdboxingcoach. |
No comments:
Post a Comment