FAMILIA
YA BWANA ATHANAS SHARIFF MUSHI WA URU MAWELLA-MOSHI, INATANGAZA
KIFO CHA BABA YAO MPENDWA, ATHANAS SHARIFF MUSHI, KILICHOTOKEA JANA JUMAPILI MACHI
24, 2013 KATIKA HOSPITALI YA MT. JOSEPH, SOWETO-MOSHI.
MIPANGO
YA MAZISHI INAFANYIKA LEO SAA 10:00 JIONI, KONA BAR MABIBO DAR ES SALAAM NA
NYUMBANI KWA MAREHEMU URU, MAWELLA, MOSHI.
MAZISHI
NI JUMATANO, MACHI 27, 2013.
HABARI
ZIWAFIKIE, MKUU WA JESHI LA POLISI NCHINI (IGP) SAID MWEMA NA WATUMISHI WOTE WA
WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI, UKOO WOTE WA MUSHI, UKOO WOTE WA KOMU,
FAMILIA YA MPONDA WA MOROGORO,NDUGU JAMAA NA MARAFIKI POPOTE WALIPO.
APUMZIKE
KWA AMANI.
No comments:
Post a Comment