March 24, 2013

NDOVU SPECIAL MALT ILIVYOKUTANISHA MARAFIKI WA ARUSHA NDANI YA CRYSTAL BAR MASAI CAMP



Meneja wa Bia ya Ndovu Special Malt, Pamela Kikuli (kulia) akiwa pamoja na marafiki na wadau wa Bia ya Ndovu wakati wa awamu ya pili ya Burudani ndani ya Crystal Bar iliyowakutanisha pamoja marafiki na wadau mbalimbali wa Bia hiyo katika Ukimbi wa Masai Camp jijini Arusha mwishoni mwa wiki.



Baadhi ya wadau wa Bia ya Ndovu kutoka jijini Arusha wakipokea chupa za kinywaji cha Ndovu Special Malt wakati wa awamu ya pili ya Burudani ndani ya Crystal Bar iliyowakutanisha pamoja marafiki na wadau mbalimbali wa Bia hiyo katika Ukimbi wa Masai Camp jijini Arusha mwishoni mwa wiki.


Meneja wa Bia ya Ndovu Special Malt, Pamela Kikuli (kulia) akipokea kinywaji chake cha Ndovu wakati wa awamu ya pili ya Burudani ndani ya Crystal Bar iliyowakutanisha pamoja marafiki na wadau mbalimbali wa Bia hiyo katika Ukimbi wa Masai Camp jijini Arusha mwishoni mwa wiki.

Meneja wa Bia ya Ndovu Special Malt, Pamela Kikuli (kushoto) akipiga picha na mmoja wa wadau wa Bia ya Ndovu Special Malt wakati wa awamu ya pili ya Burudani ndani ya Crystal Bar iliyowakutanisha pamoja marafiki na wadau mbalimbali wa Bia hiyo katika Ukimbi wa Masai Camp jijini Arusha mwishoni mwa wiki.

Wadau wa Ndovu Special Malt, wakipiga picha katika green carpet wakati wa awamu ya pili ya Burudani ndani ya Crystal Bar iliyowakutanisha pamoja marafiki na wadau mbalimbali wa Bia hiyo katika Ukimbi wa Masai Camp jijini Arusha mwishoni mwa wiki.
 
Ndovu Special Malt imewakutanisha pamoja Mameneja wa Chapa mbalimbali za Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) kutoka kushoto Meneja wa Kinywaji cha Redd’s, Victoria Kimaro, Meneja wa Safari Lager, Oscar Shelukindo pamoja na Meneja wa Ndovu Special Malt, Pamela Kikuli wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa awamu ya pili ya Burudani ndani ya Crystal Bar iliyowakutanisha pamoja marafiki na wadau mbalimbali wa Bia hiyo katika Ukimbi wa Masai Camp jijini Arusha mwishoni mwa wiki.
 Ndovu Special Malt, inawakutanisha marafiki pamoja katika meza wakati wa awamu ya pili ya Burudani ndani ya Crystal Bar iliyowakutanisha pamoja marafiki na wadau mbalimbali wa Bia hiyo katika Ukimbi wa Masai Camp jijini Arusha mwishoni mwa wiki.
Mhudumu akimimina bia ya Ndovu Special Malt katika glass tayari kwa kumpa mteja, hii ilikuwa ndani ya Crystal Bar iliyowakutanisha pamoja marafiki na wadau mbalimbali wa Bia hiyo katika Ukimbi wa Masai Camp jijini Arusha mwishoni mwa wiki.

 Wadau wengine waliamua kukaa kaunta na kushusha taratibu kinywaji cha Ndovu Special Malt wakati wa awamu ya pili ya Burudani ndani ya Crystal Bar iliyowakutanisha pamoja marafiki na wadau mbalimbali wa Bia hiyo katika Ukimbi wa Masai Camp jijini Arusha mwishoni mwa wiki.
Vijana wakitoa burudani kwa mashabiki na wapenzi wa Bia ya Ndovu Special Malt wakati wa awamu ya pili ya Burudani ndani ya Crystal Bar iliyowakutanisha pamoja marafiki na wadau mbalimbali wa Bia hiyo katika Ukimbi wa Masai Camp jijini Arusha mwishoni mwa wiki.



Wadau wa Kitambi Noma jijini Arusha nao walikutanishwa na Ndovu Special Malt ndani ya Crystal Bar

Wadau wakilisakata rumba ndani ya Ndopvu Special Malt Crystal Bar iliyofanyika mwishoni mwa wiki katika ukumbi wa Masai Camp jijini Arusha.

1 comment:

  1. Aaaaah jimmy chocolate mbishi!!!

    ReplyDelete