Mmoja wa washiriki wa Miss Utalii Tanzania 2012/13 , kutoka Kanda
Maalum ya Zanzibar akitoa Shukurani kwa niaba ya Warembo wenzake.
Washiriki wa Miss Utalii Tanzania Taifa 2012/13 wakiwa katika Picha ya pamoja na Muheshimiwa Meya wa Manispaa Jerry Silaa
Washiriki wa Miss Utalii Taifa 2012/13 wakiwa na Afisa Utamaduni wa
Manispaa ya Ilala Bi. Shani wa kwanza kushoto, ambaye ndiye alikuwa
anatoa maelezo yote ya kina kuhusiana na eneo hilo Muhimu kwa Taifa la
Tanzania
No comments:
Post a Comment