March 25, 2013

KIBANDA YUKO FITI KWA SASA

 

Pichani ni Mhariri Mtendaji wa New Habari Cooperation, Absolom Kibanda ( katikati) akiwa na Hoyce Temu (kushoto)  na Angela Semaya nchini Afrika Kusini wakati akina dada hao walipomtembelea kumjulia hali. Kwa Mujibu wa Hoyce Kibanda anawasilimu sana Watanzania wote nay eye yupo vizuri sasa akiendelea na matibabu.

No comments:

Post a Comment