March 28, 2013

CAG AMKABIDHI RAIS RIPOTI YA UKAGUZI WA HESABU ZA SERIKALI 2011/2012

 Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali(CAG) Bwana Ludovick Utouh akikabidhi Ripoti ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali ya mwaka 2011-2012 kwa Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete ikulu jijini Dar es Salaam leo.

No comments:

Post a Comment