KATIKA GAZETI TANDO HILI UTAWEZA KUJIPATIA HABARI MOTO MOTO KATIKA PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI KUTOKA NDANI NA NJE YA TANZANIA HASA YALE YANAYOGUSA MAISHA YA KILA SIKU YA MTANZANIA.LUGHA KUU INAYOTUMIKA HUMU NI KISWAHILI.
January 02, 2013
MAGAZETINI HII LEO JANUARI 2, 2013
Magazeti ya leo kila moja lina habari yake kubwa katika Ukurasa wa mbele huku baadhi ya kiwa na habari ya sakata la Gesi, na mengine juu ya Mwaka mpya wakati michezo ni Kuitwa kwa Samata na Ulimwengu kikosi cha Timu ya Taifa.
No comments:
Post a Comment