Mkurugenzi
Mkuu wa Kampuni ya Tanzania Distilleries Limited (TDL),David Mgwassa
akisungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa hafla fupi
ya uzinduzi wa kinywaji kipya kinachoitwa ZANZI (kinachoonekana
pichani) iliyofanyika kwenye hoteli ya Serena,jijini Dar es Salaam leo.
Meneja
Masoko wa Kampuni ya Tanzania Distilleries Limited (TDL),Joseph Chibehe
akitoa ufafanuzi wa Kinywaji hicho kipya aina ya ZANZI ambacho
kinapatikana katika ujazo wa 750ml na katika Pakiti zenye ujazo wa 100ml
ambacho kitakuwa kikipatikana nchi nzima.Katikati ni Mkurugenzi Mkuu wa
Kampuni ya TDL,David Mgwassa na kulia ni Meneja Usafirishaji wa
TDL,Bavon Ndumbati.
"...hiki ndicho kinywaji kipya tulichokizindua leo..."
Mkurugenzi
Mkuu wa Kampuni ya Tanzania Distilleries Limited (TDL),David Mgwassa
(katikati),Meneja Masoko wa Kampuni ya Tanzania Distilleries Limited
(TDL),Joseph Chibehe na Meneja Usafirishaji wa Kampuni ya Tanzania
Distilleries Limited (TDL),Bavon Ndumbati wote kwa pamoja wakigonganisha
glass kuashiria uzinduzi rasmi wa kinywaji hicho uliofanyika leo kwenye
hoteli ya Serena,jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment