Mhariri Mkuu wa The Guardian on Sunday, Richard Mgamba(kushoto)akiongea
na waandishi wa habari kutoka Jamhuri ya Kongo
(DRC),wakati walipotembelea ofisi za The Guardian Limited,kwa kujifunza kwa ajili ya kujifunza namna ya kuelimisha
jamii kuhusu huduma ya M-pesa inavyofanya kazi hapa nchini kupitia vyombo vya
habari,wapili kushoto ni Meneja Mahusiano wa Vodacom Tanzania,Matina Nkurlu
ambae alikuwa mwenyeji wa wageni hao.
Meneja wa vipindi wa Clouds TV Wasiwasi Mwabulambo(kushoto)akiwaonesha
namna wanavyoandaa vipindi baadhi ya
waandishi wa habari kutoka Jamhuri ya Kongo
(DRC),wakati walipotembelea ofisi za Clouds Media Group,mahususi kwa ajili ya kujifunza
namna ya kuelimisha jamii kuhusu huduma ya M-pesa inavyofanya kazi hapa nchini
kupitia vyombo vya habari.
Mmoja wa watangazaji wa
Clouds TV Ben Kinyaiya akipozi katika picha na Mwandishi wa gazeti la Antenne A
la DRC Mamy Tambu.
Mhariri Mkuu wa Clouds Joyce
Shebbe, akiongea na waandishi wa habari kutoka Jamhuri ya Kongo (DRC),kuhusu namna wanavyofaidika na huduma ya M pesa wakati
walipotembelea Ofisi za Clouds Media Group kwa ajili ya kujifunza namna ya
kuweza kuelimisha jamii jinsi ya kutumia huduma ya M pesa kupitia vyombo vya
habari.

Meneja Mahusiano wa Vodacom DRC Fanny Kazadi,akifanyiwa mahojiano.
Mwandishi Mwandamizi wa kituo cha Televisheni cha Channel
ten,Bw.Dachi Mbwana akiongea na waandishi wa habari kutoka Jamhuri ya Kongo (DRC),wakati walipotembelea ofisi za Africa
Media Group,kwa ajili ya kujifunza namna ya kuelimisha jamii kuhusu huduma
ya M-pesa inavyofanya kazi hapa nchini kupitia vyombo vya habari,wapili kushoto
ni Meneja Mahusiano wa Vodacom Tanzania,Matina Nkurlu ambae alikuwa mwenyeji wa
wageni hao.
Waandishi
wa habari kutoka Jamhuri ya Kongo (DRC),wakiwa
katika picha ya pamoja na wenyeji wao wakati walipotembelea kituo cha Televisheni
cha Channel ten na Magic FM, kwa ajili ya kujifunza
namna ya kuelimisha jamii kuhusu huduma ya M-pesa inavyofanya kazi hapa nchini
kupitia vyombo vya habari.
No comments:
Post a Comment