MKURUGENZI
WA RASILIMALI WATU WA AIRTELBw, PATRICK FOYA AKIWA AMESHIKILIA CHETI NA
TUZO HIYO YA UTENDAJI BORA WALIOJISHINDIA JANA NA KUKABIDHIWA NA MH
RAIS DKT, JAKAYA MRISHO KIKWETE
AIRTEL WAIBUKA KIDEDEA NA TUZO YA UTENDAJI BORA (Performance Management)
TUZO
YA KWANZA KULIA NDIO YA UTENDAJI BORA (Performance Management)
ILIYOONGEZEKA KATIKA DIPLAY/KITUNZA TUZO CHA AIRTEL MAKAO MAKUU LEO.
TUZO
HIZI ZIMEANDALIWA NA ASSOCITION OF TANZANIA EMPLOYERS (ATE) NA
KUKABIDHIWA KWA WASHINDI NA MHESHIMIWA RAIS WA JAMUHURI YA MUUNGANO WA
TANZANIA DKT, JAKAYA MRISHO KIKWETE.
SHUKRANI TOKA AIRTEL
AIRTEL
TANZANIA INACHUKUA FULSA HII KUWASHUKURU WATANZANIA WOTE WANAOENDELEA
KUFURAHIA HUDUMA BORA KUTOKA AIRTEL, TUZO HII YA UTENDAJI BORA YA 2012
NI KWAAJILI YETU SOTE, HIVYO ENDELEA KU-ENJOY UHURU WA KUONGEA UKIWA
AIRTEL. BADO TUNASISITIZA KUWA AIRTEL ITAENDELEA NA MPANGO WAKE WA KUTOA MAWASILIANO NAFUU NA YENYE UHAKIKA ZAIDI MWAKA UJAO WA 2013.
No comments:
Post a Comment