JUMLA
ya waandishi wa Habari 12 kutoka nchi wanachama wa Jumuia ya Afrika Mashariki
wametunukiwa vyeti baada ya kushikiri kikamilifu katika mafunzo ya siku tatu
yaliyo husu Wajibu wa Vyombo vya Habari katika kufuatilia Utekelezaji wa
Makubaliano ya Soko la Pamoja. Mafunzo hayo yalifanyika Jijini Dar es Salaam.
Pichani
ni Mkufunzi katika Mafunzo hayo, Balozi
Jeremy Ndayiziga (kushoto) akimkabidhi cheti David Mugabe kutoka New
Vision Uganda kwa kushiriki kikamilifu mafunzo hayo. Anaeshuhudia Katikati ni Elizabeth Wanyoike wa GIZ ambao walifadhili
mafunzo hayo na Jumuia ya Afrika Mashariki.
Mkufunzi
katika Mafunzo hayo, Balozi
Jeremy Ndayiziga (kushoto) akimkabidhi cheti Mroki Mroki, kutoka
Father Kidevu Blog ambaye pia ni Mpigapicha wa Masuala ya Mtangamano wa
Jumuia ya Afrika Mashariki, kwa kushiriki kikamilifu
mafunzo hayo. Anaeshuhudia Katikati ni Elizabeth
Wanyoike wa GIZ ambao walifadhili mafunzo hayo na Jumuia ya Afrika Mashariki.
Mkufunzi
katika Mafunzo hayo, Balozi
Jeremy Ndayiziga (kushoto) akimkabidhi cheti James Tasamaba Mhariri
kutoka New Times, kwa kushiriki
kikamilifu mafunzo hayo. Anaeshuhudia Katikati ni Elizabeth Wanyoike wa GIZ ambao walifadhili mafunzo hayo na Jumuia ya
Afrika Mashariki.
Mkufunzi
katika Mafunzo hayo, Balozi
Jeremy Ndayiziga (kushoto) akimkabidhi cheti Moses Walugembe kutoka UBC
TV Uganda, kwa kushiriki kikamilifu
mafunzo hayo. Anaeshuhudia Katikati ni Elizabeth
Wanyoike wa GIZ ambao walifadhili mafunzo hayo na Jumuia ya Afrika Mashariki.
Mkufunzi
katika Mafunzo hayo, Balozi
Jeremy Ndayiziga (kushoto) akimkabidhi cheti Filbert Rweyemamu wa Gazeti la Mwananchi-Arusha, kwa kushiriki kikamilifu
mafunzo hayo. Anaeshuhudia Katikati ni Elizabeth
Wanyoike wa GIZ ambao walifadhili mafunzo hayo na Jumuia ya Afrika Mashariki.
Mkufunzi
katika Mafunzo hayo, Balozi
Jeremy Ndayiziga (kushoto) akimkabidhi cheti Zephania Ubwani wa Gazeti la The Citizen-Arusha, kwa kushiriki kikamilifu
mafunzo hayo. Anaeshuhudia Katikati ni Elizabeth
Wanyoike wa GIZ ambao walifadhili mafunzo hayo na Jumuia ya Afrika Mashariki.
Mkufunzi
katika Mafunzo hayo, Balozi
Jeremy Ndayiziga (kushoto) akimkabidhi cheti Jean-Marie Bizimana kutoka RTNB Rwanda, kwa kushiriki kikamilifu
mafunzo hayo. Anaeshuhudia Katikati ni Elizabeth
Wanyoike wa GIZ ambao walifadhili mafunzo hayo na Jumuia ya Afrika Mashariki.
Mkufunzi
katika Mafunzo hayo, Balozi
Jeremy Ndayiziga (kushoto) akimkabidhi cheti Moussa Havyarimana wa RT National ya Burundi, kwa kushiriki kikamilifu
mafunzo hayo. Anaeshuhudia Katikati ni Elizabeth
Wanyoike wa GIZ ambao walifadhili mafunzo hayo na Jumuia ya Afrika Mashariki.
Mkufunzi
katika Mafunzo hayo, Balozi
Jeremy Ndayiziga (kushoto) akimkabidhi cheti Fiona Mbabazi wa Radio 10, kwa kushiriki kikamilifu
mafunzo hayo. Anaeshuhudia Katikati ni Elizabeth
Wanyoike wa GIZ ambao walifadhili mafunzo hayo na Jumuia ya Afrika Mashariki.
Mkufunzi
katika Mafunzo hayo, Balozi
Jeremy Ndayiziga (kushoto) akimkabidhi cheti John Kemel wa Citizen TV Kenya, kwa kushiriki kikamilifu
mafunzo hayo. Anaeshuhudia Katikati ni Elizabeth
Wanyoike wa GIZ ambao walifadhili mafunzo hayo na Jumuia ya Afrika Mashariki.
Katibu wa Baraza la Asasi za Kiraia za Jumuia ya
Afrika Mashariki, Dk. Martin Mwadha (kushoto) akimkabidhi cheti Salma Said wa Mwananchi na DW Zanzibar, kwa kushiriki kikamilifu
mafunzo hayo. Anaeshuhudia Katikati ni Elizabeth
Wanyoike wa GIZ ambao walifadhili mafunzo hayo na Jumuia ya Afrika Mashariki.
Katibu wa Baraza la Asasi za Kiraia za Jumuia ya
Afrika Mashariki, Dk. Martin Mwadha akimkabidhi zawahukrani Mkufunzi
katika Mafunzo hayo, Balozi
Jeremy Ndayiziga Anaeshuhudia Katikati ni Elizabeth
Wanyoike wa GIZ ambao walifadhili mafunzo hayo na Jumuia ya Afrika Mashariki.
Picha ya pamoja ya washiriki na waratibu.
No comments:
Post a Comment