Jiji la Dar es Salaam linazidi kukua kwa
kiasi kikubwa hasa upande wa majengo ya kisasa. Pichani ni Kanisa jipya la KKKT
Usharika wa Ubungo, ambalo linaendelea kujengwa, napindi litakapo malizika
litakuwa ni la kuvutia zaidi, kutokana na muonekane wa paa lake la kisasa.
No comments:
Post a Comment