FAMILIA YA MAMA
ELIPINA MLAKI INASIKITIKA KUTANGAZA KIFO CHA MAMA YAO MPENDWA BIBI MARIA ELIA KISAMO, KILICHOTOKEA TAREHE
03 DESEMBA, 2012 KATIKA HOSPITALI YA AGHAKHAN .
TARATIBU ZA
MAZISHI ZINAFANYIKA BAOBAB VILLAGE MASAKI, DAR ES SALAAM, NYUMBANI KWA BWANA NA
BIBI FREDRICK MLAKI.
MAZISHI
YATAFANYIKA USANGI, MWANGA KILIMANJARO TAREHE 08 DESEMBA, 2012 JUMAMOSI SAA
NANE KAMILI MCHANA.
HABARI
ZIWAFIKIE DR. MAKENGA KISAMO AKIWA MBEYA, DANIEL ELIA KISAMO AKIWA
USANGI-MWANGA, BWANA. & BIBI MODEST NA ROSE MERO WAKIWA NEWYORK – MAREKANI,
VIOLETH NA CLEMENT MBOYA WAKIWA PHILADELPHIA – MAREKANI, FAMILIA YA UKOO WA
MTENGE, NDUGU, JAMAA NA MARAFIKI POPOTE PALE WALIPO.
BWANA AMETOA NA
BWANA AMETWAA JINA LA
BWANA
LIHIMIDIWE.
AMEN
No comments:
Post a Comment