Mkurugenzi
Mtendaji wa Shirika la Bima la Taifa (NIC), Ndg. Justine Mwandu
akifungua mkutano wa Sita wa Mameneja wa shirika hilo katika hoteli ya
Sea Scape iliyopo maeneo ya Mbezi, Dar es Salaam tarehe 3 Desemba 2012.
Kushoto ni Mkurugenzi wa Bima za Maisha, Bi. Rose Lawa na Mkurugenzi wa
Fedha na Utawala, Bi. Anne Mbughuni. Kulia kwake ni Mkurugenzi wa Bima
za Mali na Ajali, Ndg Ndugu Kura Kalema.
Wakurugenzi pamoja na Mameneja wa Shirika la Bima la Taifa (NIC) wakiwa katika picha ya pamoja baada ya mkutano.
Mkurugenzi
Mtendaji Bw. Mwandu (kushoto) akiwakaribisha wajumbe katika mkutano.
Anayesalimiana nae ni meneja wa bima tawi la Songea Ndugu Moses Senje
akifuatiwa na meneja mwenzake tawi la Tanga Ndugu Romanus Hokororo na
mwisho meneja wa Iringa Ndg Ally Mohammed.
Kutoka
kulia ni Bw. Henry Machoke, Mkurugenzi wa Masoko, akibadilishana mawazo
na Meneja Masoko wa NIC, Elisante Maleko, na Meneja wa tawi la Ubungo,
Segeja Mabula katika mkutano huo.
No comments:
Post a Comment