December 01, 2012

HAPPY BIRTHDAY TRECEY WABOGOJO


Leo Desemba 1, ni siku ya kuzaliwa kwa mtoto Mrembo, Trecey Athuman Ford. Trecey alizaliwa tarehe kama ya leo mwaka 2011 hivyo leo anatimiza mwaka mmoja. 
 
Mwana sarakasi Athuman Ford 'Wabogojo'  na mkewe wanamtakia heri na fanaka binti yao huyo na kumuomba Mungu amlinde na kumpa maisha marefu yaliyojaa afya, na yeye kama mzazi atajitahidi kwa upande wake kumpa malezi mema. 
 
Father Kidevu Blog, inaungana na familia ya Bwana na Bibi Wabogojo kumtakia Trecey HAPPY BIRTHDAY na pia kuwatakia wazazi baraka na malezi mema kwa mtoto.
Wabogojo hapa akiwa kazini huko majuu ambako anafanyia shughuli zake za kazi ya Sarakasi.

No comments:

Post a Comment